Bio: Mkulima mfanyabiashara.
Anajulikana kujitolea kushauri wakulima kuenzi mbegu asilia, matumizi ya samadi na utumizi wa teknolojia rafiki wa mazingira
Bio: Tunauza bidhaa mbalimbali kutoka china .Napokea order kwa wateja wanahitaji kuagiza bidhaa kutoka china ,mfano simu ,viatu ,nguo,vifaa vya urembo n.k