Financial Freedom Journey
Private
1 member
Free
Karibu Financial Freedom Journey — Safari ya Uhuru wa Kifedha!
Jumuiya hii inawasaidia watumishi wa umma na wanajamii kujenga maarifa na tabia bora za fedha kupitia elimu na mazoezi ya vitendo.
Hapa utajifunza kuhusu:
✅ Kuandaa bajeti na kudhibiti matumizi
✅ Kuweka akiba kwa malengo na dharura
✅ Kukopa kwa busara na kudhibiti madeni
✅ Kuelewa fursa na hatari za uwekezaji
✅ Kujiandaa kwa maisha baada ya kustaafu na Kustaafu Bila Hofu
Kupitia masomo mafupi, mazoezi na mijadala, utapata nafasi ya kujifunza hatua kwa hatua na kuchukua hatua kuelekea malengo yako ya kifedha.
🎓 Darasa la sasa: Elimu ya Fedha kwa Watumishi wa Umma
📅 Tarehe: 1–14 Novemba 2026
💰 Ushiriki wa darasa hili ni bure.
Karibu tuanze safari ya uhuru wa kifedha!
John Joseph Mwingira, CFE
powered by
Financial Freedom Journey
skool.com/financial-freedom-journey-2199
Tunawasaidia watumishi wa umma na vikundi vya kijamii kujenga tabia bora za fedha, kuwekeza na kujiandaa kustaafu bila hofu.